Back to SAVE TANZANIA, CALL FOR RESTORATION OF WARIOBA DRAFT CONSTITUTION.

Je, Kinga ya Rais ya kutoshtakiwa kwa makosa aliyofanya akiwa Rais iondolewe?

  • Ndio (80% people answered this)
  • Hapana (2% people answered this)
  • Iachwe ila iwekewe mipaka (16% people answered this)

42 people voted.

Pressurize for a new constitution for Tanzania. Dear Tanzanians and friends of Tanzania, As you might know we have a 1977 Constitution in place. This mother law has been amended more than 20 times. Worse still at this time of globalization our dear Constitution says we are socialists. It gives the President the power to establish and abolish any office at his pleasure, covers him with an absolute immunity not to be called accountable for any atrocities he/she causes during his/her power/reign. Moreover it denies us the power to challenge the victory of the Presidential candidate once announced as the winner! This is not palatable more so in this era where good governance is the way to go. Lets join our hands in unison and call for a people made new constitution, join this cause for change. YES ITS POSSIBLE! 1. The 1977 Constitution is old and no longer serve the interest of a multi party, capitalist Tanzania. 2. It gives huge powers to the President to decide anything. Even disregarding his own peoples' needs. 3. It has led to the establishment of impartial state institutions that serve the interests of few rich politicians, including; NEC, PCCB & the JudiciaryNi muda mrefu watu wamekuwa na malalamiko juu ya Rais aliyemadarakani na ilishawahi kujadiliwa Bungeni juu ya kumshtaki au kutomshtaki aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu. Hata hivyo kwa mujibu wa Ibara ya 46(1) na (3) ya Katiba yetu ya 1977 ni marufuku kumshtaki Rais kwa kosa alilofanya akiwa madarakani wakati bado anaongoza Ib. 46(1) na baada ya kuondoka madarakani Ib. 46(3). Pamoja na kwa chini ya Ibara 46A kunauwezekano wa kumshtaki Rais wakati na baada ya uongozi wake, utaratibu huu ni mgumu sana kutimiza masharti yake haswa ukizingatia uwiano wa vyama Bungeni. Je, ni wakati sasa wa kubadilisha msimamo huu haswa wakati huu wa sera za uwajibikaji? je, hatutaondoa amani ya moyo kwa Rais aliyemadarakani inayomsaidia kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
to comment