Back to SAVE TANZANIA, CALL FOR RESTORATION OF WARIOBA DRAFT CONSTITUTION.

Madini, Gesi na Mafuta ni Suala la Kikatiba

Wakati kukiwa na wasiwasi wa maandamano makubwa huko Mtwara kama hotuba ya Nishati na Madini haitasema chochote kuhusu Mtwara, Serikali imetangaza kugawa vitalu viwili vya gesi asili kabla sera na sheria ya gesi kuundwa. Ikumbukwe ugawaji wa vitalu hivi ulisitishwa miaka miwili iliyopita ilikusubiri sera na sheria. Sasa Muhongo anasema kunauharaka ni lazima vitalu viuzwe. Ili kuzuia hali kama hii katiba iweke wazi hakuna kufanya lolote linalogusa rasilimali bila sera, sheria na watalaamu wazawa.

2 comments

to comment