Msimamo wa Msekwa juu ya Idadi ya Serikali katika Muungano

Spika Mstaafu Pius Msekwa ametoa kauli ya utata hivi karibuni alipozungumza na vyombo vya habari na kusema kuwa yeye hana chaguo ni serikali mbili, moja au tatu angependekeza kufuatwa katika katiba mpya ya Muungano. Akitoa ufanunuzi, Msekwa alisema kuwa…Read More

Rais Kikwete Asema Mchakato wa Katiba Unaendelea vizuri

Akitoa mhadhara katika Chuo Cha Jeshi la Ulinzi Kunduchi, Rais alinukuliwa akisema mchakato wa kuandika katiba mpya ya Tanzania unaendelea vizuri sana na hauna tatizo kabisa. Je, nini maoni yako katika hili?

Je, mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi unaoendeshwa na tume ya mabadiliko ya katiba unatoshelez

Ndio (13% people answered this) Hapana (86% people answered this) 46 people voted. Pressurize for a new constitution for Tanzania. Dear Tanzanians and friends of Tanzania, As you might know we have a 1977 Constitution in place. This mother law has…Read More

Je, Kinga ya Rais ya kutoshtakiwa kwa makosa aliyofanya akiwa Rais iondolewe?

Ndio (80% people answered this) Hapana (2% people answered this) Iachwe ila iwekewe mipaka (16% people answered this) 42 people voted. Pressurize for a new constitution for Tanzania. Dear Tanzanians and friends of Tanzania, As you might know we…Read More

Je, Unataka Tanzania iendelee kuwa nchi isiyofungamana na dini yoyote?

Ndio (87% people answered this) Hapana (9% people answered this) Hapana, ila iwe na taasisi za kidini katika mfumo wa Serikali kama mahakama ya Kadhi (0% people answered this) Hapana ila ijiunge na umoja wa nchi za kidini kama OIC au Catholic (3%…Read More

Ni nani kati ya hawa wanaharakati aingie kwenye tume ya katiba mpya

Ananilea Nkya (30% people answered this) Deus Kibamba (27% people answered this) Rakesh Rajani (6% people answered this) Renatus Mkinga (18% people answered this) Hellen Kijo Bisimba (17% people answered this) 76 people voted. Pressurize for a new…Read More

Ni Nani Kati ya hawa waandishi wa habari aingie kwenye tume ya katiba mpya?

Generali Ulimwengu (89% people answered this) Attilio Tagalile (1% people answered this) Ansbert Ngurumo (5% people answered this) Absolom Kibanda (2% people answered this) Haura Shamte (3% people answered this) 100 people voted. Pressurize for a…Read More
to comment