Back to SAVE TANZANIA, CALL FOR RESTORATION OF WARIOBA DRAFT CONSTITUTION.

Rasimu ya Katiba, nini kimeachwa?

Ndugu Watanzania,

Rasimu ya Katiba tumeiona! Binafsi naiona inamambo mazuri mengi.

Kabla hatujajadili mazuri kwani yapo tayari, tujadili yaliyowachwa na mustakabali wa kuyaingiza.

Je wewe unahisi nini kimeachwa?

3 comments

to comment