Back to SAVE TANZANIA, CALL FOR RESTORATION OF WARIOBA DRAFT CONSTITUTION.

Tume yatoa Rasimu ya Katiba

Ndugu Watanzania,

Leo ndio siku wengi tulioingojea, ni siku Tume ya Katiba itatoa rasimu ya katiba mpya.

Je huu ndio ukombozi wa mtanzania au angamizo? umejipanga vipi kutoa maoni yako juu ya muswada? katiba kwako inaleta matarajio gani?

to comment