Lifti ya Mnazi mmoja Hospital ni mbovu kwa miaka mingi!!!!

Tulimfikisha mgonjwa MNAZI MMOJA ambae amevunjika mgongo baada kusajiliwa tukaelekea wodini kizazaa kilianza tulipokuta LIFTI haifanyi kazi.Hii lifti inaonekana ni kongwe sana na miaka mingi sasa haifanyi kazi.Ni jambo la kutia uchungu sana ukikumbuka magari…Read More

HI EVERY ONE

plz we would like to ask every meber in our cause to suport the nice and international one , so we need to make our okoa hospitali ya mnazimoja to be wold wide as well.

1 comment

to comment