Sign the Petition to

Watanzania

Tume ya Katiba Mpya imepitisha ratiba ya kutoa maoni na elimu kwa wananchi ya rasimu ya katiba mpya kwa kipindi cha mwezi mmoja tu. Kuzingatia na ukubwa wa hii nchi, mapungufu yaliyokwisha jitokeza na unyeti wa mchakato huo, je unadhani muda huo utatosha?

Signed,

Msechu Stephen Wilbard

This petition closed over 4 years ago

How this will help

Ili kuipinga ratiba hiyo ya tume na kuwalazimsha waongeze muda hadi miezi sita ili kupisha elimu itolewe kwa miezi mitatu kisha majadiliano kwa miezi mingine mitatu. Kwani tunaharaka gani,...

Ili kuipinga ratiba hiyo ya tume na kuwalazimsha waongeze muda hadi miezi sita ili kupisha elimu itolewe kwa miezi mitatu kisha majadiliano kwa miezi mingine mitatu. Kwani tunaharaka gani, tunachotaka ni katiba bora sio bora katiba.

3 comments

to comment